Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Ushahidi, hakuna beef kati ya Davido na Diamond.

davido na diamondStaa wa Nigeria aliyeripotiwa awali kuwa na tofauti na msanii Diamond Platnumz baada ya kufanya pamoja Remix ya wimbo Number 1 ameonyesha wazi kuwa hakuna beef yeyote kati yao.
Mtv wametaja majina ya wasanii watakao fanya show kwenye usiku wa tuzo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania na Davido kutoka Nigeria wapo miongoni mwa wasaii waliotajwa.
Hii ni post ya Davido Facebook.
davido  2
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.