Advert

Breaking News

KEISHA ASHINDA UBUNGE VITI MAALUM DODOMA, SOMA HAPA

WAKATI mwanadada Wema Sepetu akishindwa kupenya katika kinyanganyiro cha ubunge viti maalum,Msanii wa kizazi kipya aliyetangaza nia kugombea ubunge viti maalum Dodoma ashinda nafasi hiyo,wanawake kwanza inampongeza sana na inamtakia ushindi mwingine huko mbeleni.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.