Advert

Breaking News

DIAMOND PLATNUMZ NA MASANJA MKANDAMIZAJI WAWASILI MOSHI KWA AJILI YA KUSHUSHA BURUDANI MISS KILIMNJARO AMBSSADOR LEO.

 Mwanamuziki Naseeb Abdul almarufu kama Diamond Platnumz akisalimia warembo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Kilimanjaro International Airport (KIA).Shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 linafanyika usiku wa leo katika viwanja ya Kili Home Resort kuanzia saa mbili usiku likiambatana na burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo wasanii mbalimbali watatumbuiza akiwemo Diamond Platnumz na burudani ya Uchekeshaji kutoka kwa Masanja Mkandamizaji. 

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.