Risasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni

MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa...

MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai ya kuwepo kwa watu ambao sio wakazi wa eneo hilo kutaka kujiandikisha.

Vurugu hizo zilisababisha takribani watu 15 kukamatwa akiwemo Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ambaye hata hivyo baadaye aliachiwa huru. Alishikiliwa kuanzia saa 1:30 usiku hadi saa 4:00 usiku juzi.

Patashika hiyo ilichukua zaidi ya saa moja, kwani baadhi ya polisi waliokuwa na silaha za moto aina ya bastola walifyatua risasi hewani kwa lengo la kutawanya vurugu hizo, lakini hali ilikuwa mbaya zaidi hadi polisi walipoongezwa na kufanikiwa kutuliza ghasia hizo.

Wakati hayo yanatokea Lema alisisitiza kuwa kamwe hawezi kukubali kutohamasisha wananchi kwenda kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura licha ya kudai kuwa, kundi la vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM wamempiga mawe sambamba na watu wengine waliojitokeza kujiandikisha katika kata mbalimbali.

Hata hivyo, upande wa vijana wa CCM, umedai wenzao wa Chadema ndio chanzo cha vurugu, kwani wameonekana wakisambaza makundi ya vijana wasiostahili kuandikisha katika vituo mbalimbali.

Lema ajitetea
Akizungumzia kukamatwa kwake na polisi wa kata ya Osunyai kutokana na vurugu zilioibuka, alidai alikuwa akitoa taarifa za uongezwaji wa mashine za BVR kwa wananchi na kuwapa moyo kuwa watulivu wakati wa uandikishwaji sambamba na kutunza vitambulisho hivyo kwa ajili ya kupiga kura mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani.

Alisema wakati akiendelea kuwapa moyo wananchi na kusema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza mashine za BVR, ghafla aliona vijana anaodai wamekodishwa kufanya vurugu kwenye vituo mbalimbali vya kujindikisha na ndipo alitoa taarifa Polisi, lakini badala ya kukamata vijana hao alikamatwa yeye na vijana wengine na kuwekwa mahabusu.

NEC iliruhusu uandikishaji kuendelea hadi saa mbili usiku kutokana na wingi wa watu wanaostahili kuandikishwa.

Hata hivyo mmoja wa wafuasi wa CCM aliyejitambulisha kwa jina la Abdi Marijani maarufu kwa jina la ‘`Mutu’ alisema Chadema wamekuwa wakileta watu ambao sio wakazi wa Jiji la Arusha kutaka kujiandikisha hali iliyopingwa na vijana hao.

Mutu alisema CCM ilikuwa imepewa taarifa juu ya njama za Chadema za uchomekeaji watu katika kila kata na chama kikaweka vijana imara katika kila kituo wakiwa na mabalozi ambao ndio wenye jukumu la kujua mkazi wa eneo husika.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Lema alisema juzi akiwa kata ya Osunyai alishangaa kuona kundi la vijana wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajili T 122 ATR ambalo alidai wakati mwingine gari hilo lilibadilishwa namba na kusomeka T 122 ABR wakishuka ghafla na kuanza kumpiga mawe na kuwapiga vijana wengine 25 ambao walikuwa katika kituo hicho.

Alisema wakati tukio hilo likitokea alitoa taarifa kwa Mkuu wa Upelelezi wa wilaya OC/CID, Faustine Mwafele ili kuwaelezea tukio hilo, lakini polisi walifika eneo la tukio badala ya kuwakamata vijana hao walimkamata yeye na vijana waliokuwepo kisha kuwaweka chini ya ulinzi.

Alisema inaonekana kundi hilo linaonekana lipo juu ya sheria watu wanafanya fujo za waziwazi, huku mbunge akigeuziwa `na kusulubiwa.

Alisema kwa kuwa yeye ni mbunge, hawezi kuacha kuhamasisha wananchi wake kujiandikisha badala yake chama chao na viongozi wa chama wataendelea kuhamasisha watu kujitokeza kujiandikisha sambamba na kuhamasisha watu wasikate tamaa katika kujiandikisha kwa sababu ni wajibu wao wa kisheria, kisiasa na kidemokrasia.

Aliongeza kuwa udhalilishwaji sasa umefika mwisho, hivyo alitoa rai kwa vijana wa chama hicho kuchukua hatua ya kuwalinda viongozi wao, kulinda demokrasia na mali zao.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas hakupatikana kuzungumzia tukio hilo, licha ya kutafutwa kupitia simu yake ya mkono ikiwa ni pamoja na kutumiwa ujumbe mfupi wa maandishi.

Wasemavyo CCM
Akizungumzia hilo, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Arusha, Feruz Banno alisema vurugu zilianzishwa na vijana wa Chadema kwa kuwapiga vijana wa CCM na kupiga risasi hewani hovyo bila ya sababu za msingi.

Banno alisema dola Arusha inapaswa kuwa makini, kwani hali inaweza kuwa mbaya zaidi iwapo hilo halitadhibitiwa na kuwafanya watu wengine kushindwa kwenda kujiandikisha kwa kuogopa vurugu.

Alisema kutokana na vurugu zinazofanywa kwenye baadhi ya vituo vya kujiandisha na baadhi ya viongozi wa Chadema ili kudhibiti wazee na akinamama wanaokwenda kujiandikisha kwenye vituo hivyo.

Alisema kwa sasa uandikishaji unafanyika katika kata za Terati, Murieti, Olusunyai, Moshono, Sinoni na Sokoni One, lakini baadhi ya vijana wa chama hicho wamekuwa wakisafirishwa kwa magari kutoka kata tofauti na hizo na kupelekwa eneo hilo kwa ajili ya kujiandikisha .

Ulinzi
Kwa upande wake Marijani, alisema kutokana na udhibiti uliowekwa na makamanda wa CCM vituo vya kupigia kura wamebaini kuwa viongozi wa Chadema na vijana wao wamekuwa wakileta vurugu katika kila kituo ili zoezi hilo lisiweze kufanikiwa.

“Tumeweka ulinzi kila kituo na hiyo itakuwa ikifanyika katika kata zote za Jiji la Arusha kwani hiyo itasaidia kupata wakazi halisi wa eneo husika na sio mamluki,” alisema Mutu
UNATAKA KUPATA HABARI NA BURUDANI FASTA BILA USUMBUFU ? BONYEZA HAPA
Name

2014 Fifa World Cup 2baba 2face 50 Cent A.K.A A.Y Abbas Maziku Abdu Bonge Abdu Kiba Abela Music Abraham Poincheval ACT Adam Juma Adam Kuambiana Adam Mchomvu Adele adhabu Advert Afande Sele Africa African Blogger Awards African Celebs African News AFRIMA afrimama awards AFRIMMA Afya Afya Ya Mama Diamond Afya Ya Mapenzi Agatha Atiti Agnes Masogange Agness Masogange AIBU Aika AINEA Air Tanzania Airport Ajabu Ajali Ajira Aki Akon Akothee Al Shabaab Albino Album Cover Alice Kella Alikiba Aliko Dangote Ally Rehmtulah Amanda Poshy Amatus Liyumba Amazing Amber Lulu Amber rose Amina Sanani Amini AMVCA AWARDS 2014 Android Angelina Jolie Anniversary Apple Arianna Angel Arsenal Arusha Asha Baraka Aslay AT Audio August Alsina Augustine Mahiga Augustino Mrema Aunt Ezekiel Aunt Lulu Australia Avril Awards B.O.B B12 BAB J BABA DIAMOND BABA KANUMBA Babu Seya babu tale babu wa loliondo Baby Madaha BabyBoy Mapozy baeuty Banana Zoro banj Banky W Baraka Da Prince Baraka The Prince Barcelona Barnaba barua nzito Batuli BBA BBC Beef behind the scene Beka Ibrozama beki tatu Bella Belle 9 Ben Pol Benjamin Mkapa Benzema Best Nasso BET BET Awards BET Hip Hop Awards Betty Kyallo Beyonce Beyonce Knowle Biashara Bien Baraza Bifu BIG BROTHER Big Brother Hotshots Bikira Wa Kisukuma Bill Clinton Bill Nass Biography BirdMan Birthday Blac Jizzle Black Chyna Blue Ivy Bob Juniour Bob Marley Bobbi Kristina Brown Bobic Bondia Bonge la nyau Bongo Celebs Bongo Flava Bongo Fleva Bongo Movie Bongo Movies Bongo Swaggz Shindano Bongo Swaggz Tv Bongo Videos BongoSwaggz BongoSwaggz Play Store BOT Bow Wow Brad Pitt Brasil Breaking News Brown Mauzo Brown Punch (Bavoo) Brussels BS BSS BUNGE LA KATIBA. BUNGENI BURUDANI Bushoke Business C Pwaa C.E.O C9 Calisah Camon C9 CANCER Cannical Captain Komba Cars Carter V CashTime cazuza bon scott CCM Celebrities Celebrities Gossip Celebs CHADEMA Chagga Barbie Chagga Barbie na Zari The Boss Lady Changes Channel O Chege Cheka Chelsea Chibu Wayaya Chibu West Chicharito Chid Benz Chidi Mapenzi Chidinma Chin Bees China Chris Brown Chriss Brown christian bella Christian Ronaldo christina hewitt Chuchu Hans Ciara Clouds Fm Clouds Media Club La Liga Coke Studio Collabo Colonel Mustafa Comedy Coming Soon Corazon Kwamboka Coyo Mc Crimes Cristiano Ronaldo CSEE 2013 RESULTS Cyril Kamikaze d D banj d'banj D’banj damian soul Dance Dar es salaam darasa darasa la mapenzi darassa Dassy Amazing David Moyes Davido Davis mosha DAVIS MWAMUNYANGE Dawa Dawa Vidonda Vya Tumbo Dayna Death Decent Boy deddy Diamond Diamond na Zari Diamond Platnumz Diamond Platnumz Vs Davido Diana Kimaro DIDA Dillish Dipper Diva Diva Loveness Love divathebawse Dj Choka Dj D-Ommy Dj Fetty Dj Khaled Dj Sinyorita Dj Young Guru Dk. Vincet Mashinji Dkt. Asha-Rose Migiro Dog dogo janja Dogo Mfaume Don Jazzy Don Tach Donald Trump Doris Mollel Foundation Dr Cheni DR JOSE CHAMELEONE Dr. Dre Dr. John Pombe Magufuli Dr. Mwaka Dr. Slaa Drake Drinks DRM DSTv Dude DUDU BAYA dullayo Dully Sykes Dunga Duterte Dwayne Johnson EATV Awards Eddy Kenzo Education Edward Lowasa Elimu Elizabeth Michael Eminem Emmanuel Adebayor Emmanuel Mbasha Enos Olik Entertainment EPL Eric Omondi ESCROW Esma Platnumz Ethiopia Etihad Europe Evander Holyfield Events Exclusive Ezden Ezekiel Wenje Facebook Fadhili Awadh Fahyma Faiza FALLY IPUPA Fashion Fast & Furious Fast &Furious 7 Fast And Furious 8 Ferouz Fetty Feza Kessy Fid Q Fiesta 2013 FIESTA 2014 FIFA Filikunjombe First Godfrey Flaviana Matata Flora Mbasha Florah Mvungi Floyd Mayweather FM Academia Footballer Forads Forbes Fred Swagg Freeman Mbowe freemason freemason tanzania French Montana FUMANIZI Fuse ODG Future JNL G Nako G-Nako GABO ZIGAMBA Gadner Habash Galaxy Glass Gari Inauzwa gari mpya Geez Mabovu Gelly wa Rhymes GENEVIEVE Gentriez ghana Ghetto Kids Gift Gigy Money Girls global publisher Gmail Gnako Godbless Lema Godfather Godzilla Goodluck Gozbert Google Google Glass Gospel Gossip Grace Msale gwajima H BABA Habari Hakeem 5 Halima Kimwana Halima Mdee halimaty msodoki HAMISA MOBETO Hanscana Happiness Watimanywa Haristot Shungu Harmonize Harusi Hasheem Thabit Health Hemedi Hemedi Suleiman "PHD" Hillary Clinton Hip Hop HiPipo Awards HollyWood Homa La Jiji Hot In Town hot photo How To How to Love HTC Huddah HUSNA HUSNA MAULID Hussein Machozi Ian Ferrao Ice Prince Idris Sultan Imetosha Imetosha Campaign India Injili Instagram Interview iPhone iPhone 6 News iPhone 7 Irene Paul Irene Uwoya Iringa Isabela Issaya Mwita Charles Ivan Don Iyanya Izzo Business jack Cliff Jack Pemba Jackline Wolper jaguar Jah Prayzah Jakaya Mrisho Kikwete Jambo Squad Jamii January Makamba jaraja kubomoka jason deruLo jason deruro Jay C Jay Z JB Jini Jini Kabula Joh Makini Johari JOHN CENA John Legend john lennon John Mnyika John Woka Johnnie Walker Jokate jomo kenyata jordin sparcks Jose Mourinho Joseph Mbilinyi Joseph Msukuma Joti Joyheart Events JPEG Jude Okoye Juma Kaseja Juma Nature Jussie Smollett Justin Beiber Justin Bieber Jux K Lyamo K-LYN K.O K’naan kajala Kala Jeremiah Kalakala Kamikaze Kanga Moko Kanumba KANUMBA DAY Kanye West Karrueche Kassim Majaliwa Kayumba KCEE KCMC keisha Kelly Rowland Kenya kenya celebs Kesi Kevin-Prince Boateng Khadija Kopa Kiba Square Kidoa Kifo kigamboni Kigwangalla kikwete Kili Home Kilimanjaro Kilimanjaro Premium Lager Kim Kardashian Kimbunga Mchawi King Crazy GK King Kaka King Lawrence king majuto Kingunge Kitale Kizz Kiduku Klyn Koffi Olomide KOREA KR Mullah KTMA Kubenea kujinyonga kujiua Kupatwa Kwa Jua Kush Tracey Kutongoza Kylie Jenner LAANA LADY GAGA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lagos Laveda Le Mutuz leo Leo Mysterio Life Style Lij Michael LIL DRAINO lil kim Lil Wayne Linah Linex Lira Galore Live Updates Liverpool LOL Lola-Rae Lord Eyes Lost Airplane Love Love And Relationship Love Matters Love Story Love Tips Love Zone Lucci Luis Figo Luis Munana Lulu Lulu La Diva Lundenga Lupita Nyong'o Lynn M-Pawa M-Pesa m-rap MAAJABU Maalim Seif Sharif Hamad Mabeste MABOMU Mabruki Madam Rita Madawa ya Kulevya madee mademu Madhara Ya Mafikizolo MAFURIKO YA MAJI mafuriko ya mvua Magari Mazuri magazeti maimartha jesse Mainda Maisha Majanga Majay Makala makalio Makamba makavu live Make Love Makomando Malaika Malawi Malaysia malaysia airlines Malia Obama Malkiz MAMA DIAMOND MAMA KANUMBA Mama Lulu mama sharo milioneo Mama Wema Man Fongo Man u Man Utd Manchester City Manecky Mange Kimambi mangwea Manji Manny Pacquiao Mapenzi Maphorisa marilyn monroe Mario Balotelli Mark Zuckerberg Markson Beauty Products Marlaw Maromboso martin kadinda Masanja mkandamizaj Mashabiki masoud kipanya Mastaa Mastaa Bongo Master J matako bandia matokeo Matokeo Form Six Matokeo Kidato Cha Nne 2013 Matokeo Kidato Cha Nne 2015 Matonya MATUKIO Maua Maua Sama mauaji maximo MAYA Mayunga MB Dog mbagala Mbeya Mbinu Za Mapenzi MBWA WA WEMA Mc Dulla Mch. Christopher Mtikila Mechi Medicine Meek Mill Mekstar Melania Trump Menina Meninah Mesen Selekta Messenger Messi Mgomo Mh Job ndugai Mi-Casa Micah Boy Michael Jackson Michelle Obama Michepuko Michezo Mike Scotter Mike Tyson milipuko Millard Ayo Millen Magese Mimba Mirror Miss Bongo Movie Miss Bongo Muvi Miss Kilimanjaro 2016 Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 Miss KK Miss Rwanda Miss Tanzania Miss Tanzania 2014 Miss Uganda Miss World misukule Mkasa Mkasi mke wa sugu Mkubwa Na Wanawe Mkude Simba Mlela Mlimani City Mo Dewji mo music Mobile App Model Classic Models moe musa monalisa morogoro Mose Iyobo Moshi Movie Moyo Tara Flavour mpira Mr Blue Mr Flavour Mr Nice Mrema Mrembo Mrembo wa Wiki mrisho mpoto Msaga Sumu Msami Msiba Msigwa Mswaki MTANGAZAJI TIMES FM Mtoto Mtoto Wa Diamond mtoto wa nay wa mitego MTV MTV EMA MTV MAMA MUAJI Mubenga Muchoma Mugabe Muhammad Ali Multichoice Africa Muna Music MUSIC Mustapha Jaffer Sabodo Mwana FA Mwanafunzi Mwanamke MWANZA Mwasiti MZEE GURUMO Mzee Wa Upako Mzee Yussuf Mzee Yusuf Mziiki mzungu kichaa Nafca Nahreel Naj Nakaaya Nald Clever Nameless Nana Kwaku Bonsam NANDO Nape Nnauye Nash MC Nasibu Abdul Juma navy kenzo Nay Wamitego Nazizi Ndege Kupotea ndege ya malaysia Ndikumana Ndoa NEC NECTA Nedy Music Nelly Kamwelu Nelson Mandela Nemo New Blog New Maisha Club new movie New Product new ride New Track New Video News Ney Wa Mitego Neyo Ngasa ngono ya mdomo nguo za kubana Ngwea Nick Wa BongoSwaggz Nicki Minaj Nickson Lema niger celebs Nigeria Nikki Mbishi Nikki wa II Nikki Wa Pili Nisha Nisher Nisher Bye Nisher Entertainment Nissan Note Niva Nixl Carter Nokia Nonini Nora Nuh Mziwanda Nuhu Mziwanda nyerere Nyu Kid Obama Ochu Sheggy Octopizzo Odama Ojwang Olamide Ombeni Sefue Ommy Dimpoz Omotola Omotola Jalade Ekeinde One The Incredible Oprah Winfrey Ordinareh Bingwa Oscar Awards ostaz juma Ousmane Dembele P Diddy P Square P The Mc Pah One pakistan Pam D Pancho Chineke Panya Road Papa Francis Papa Wemba Papaa Masai Papi Kocha Paradise parliament Party Patcho Mwamba Patoranking Paul Kagame Paul Makonda Paul Okoye Paul Pogba Paul Walker Paula Penny Perfect Internet Peter Msechu Peter Okoye Petit Man Photo Photo Of The Day Picha picha za uchi picha chafu picha kli Picha Program Picha Ya Picha za mastaa Picha Za Matukio Picture pingu Pipi Pitbull PNC Political Issues Politics pombe Prezzo Princess Tiffah Privacy Priyanka Chopra Producer Prof. Ibrahaim Lipumba Profesa Jay Promo Promotion Q Chief Queen Darleen Queen Darling Quick Rocker R.I.P Raila Odinga rally Rama Dee Rammy Galis Range Rover Sport Raph Tz Ray Ray C Ray Vanny Raymond Rayuu RayVanny Read Madrid Real Madrid Recho Reekado Banks Regina Lowassa Reginald Mengi Rehab Relationship REMIX Rich Mavoko Rich People Richard BBA 2007 Richie Rick Ross Ridhiwani Kikwete Rihanna Rijo Voive RISPER Riyama Robin Thicke Rolene Strauss roma mkatoliki Romeo Romy Jons Rosa Ree Rose Muhando Rose Ndauka Rossie M Rostam Aziz Ruby RunTown Rwanda Sabby Sad News Saed Kubenea Safari Lager said fella Saint West Salam Tmk Salama Condom salama jabir Salamu Tmk Salha Israel Sallam Sk Salman Khan Salomon Kalou Sam Misago samaki wa ajabu Samantha Samatta SamBoy Samsung Samsung Galaxy S5 samweli sita Sarkodie Sasha Obama Sauda Mwilima Sauti Base Sauti Sol SBL sean kingston Secky Seki Selena Gomez Seline Selling Child Senga Serengeti Sergio Agguero Sergio Aguero Serikali Sexy Seyi Shay Shaa Shababi Shamsa Ford SHAMSA SORD Share SHARLEEN Sharo Millionea Sheddy Clever Shein Sherry Zuu Sheta Shetta Shevchenko Shilole Shocking News Sholo Mwamba Show Siasa SIKU KUU YA WAJINGA Simba Simulizi Sintah Siri Ya Mtungi Sitti Mtemvu Siwema Skendo snake bit Snoop Dogg Snura SOAP soccer Social Matters Social Networks SOKO LA KARUME Solution Somalia Somo Songa Sonko Sony South Africa spark Sport News Stamina Stan Bakora Stand United Stanna Stereo Steve Nyerere Steve RnB Steven Nyerere Stone Bone Stori Stori za Bongo Story Lounge suarez subaru Subaru Legacy Sudan SUGU Sumaye Super Nyota 2013 Swahili Jokes Swahili Music T-Pain T.I tahadhari Tajiri Talents Tamthilia tancredo neves tanesco Tangazo Tania tanz TANZANIA Tanzania Film Tanzania Music Tanzania News Tanzania One Tanzanian Tanzanian Actress Tanzanian music Tanzanian Rapper Tayo Folarin TB Joshua TBC Fm TBT TCRA TCU Teachers Technology Tecno Tekno Miles temba Tembo Tetesi TFF Thado The Game The Industry The Next Billionea Thea THT Tiara TID Tiffah Tigo Tiko Timbulo Times Fm Tinashe tip top connection Tiwa Savage tmk Togo Tottenham Hotspur Touch Phone TRA Trace TV trafiki trey songz Trick And Tips Tricks Tros Machine Trubadour George True Story Trust Trust Life TSH to USD Tuddy Thomas Tumaini University Tunda Tunda Man Tundu Lissu Tunisia Tupac Tusker Tuzo Tuzo za watu 2014 Twenty Percent Twerk Video Twitter Tyga U Heard ubakaji UCHAGUZI 2015 Uchawi Uchumi Supermarket ud Udaku Udaku Bongo Udaku Wa Bongo UDOM Uganda ugomvi ugomvi wa wema na kajala Uhuru Uhuru Kenyatta Uhusiano ukatili UKAWA Ukwa Umalaya UNESCO University News Unyama Urembo USA USA Celebs usagaji Usain Bolt Ushauri Usher Raymond Ushoga uswahilini uswazi Utabiri utajiri Utamu Vai Wa Ukweli Valentine Valentine's Day Van Persie Van Vicker vanessa chettle Vanessa Mdee Vannesa Mdee Venezuela VENGU VERA SIDIKA Vicent Kigosi vicent nyerere Vichekesho victoria kimani Video video queen Videos Vin Diesel visa vya mapenzi Vituko Vj Adams VJ Penny Vodacom vurugu Wahu WAJE Wale Walter Chilambo Wanawake Warning wasanii Wasira wastara Wayne Rooney wazungu WCB Wasafi Wedding Wedding Tanzania Weight Loss Welu Sengo WEMA Wema Sepetu wema sepetu alia wema sepetu kuzaa wema sepetu na ugumba Westgate Weusi Whatsapp Wildad William Bugeme Windhoek Beer Wise De Africa Wise One Witchcraft Witnesz wiz khalifa wizi Wizkid Wonder World News World Record Yamoto Band Yanga Yasinta Ycee Yemi Alade yesu bandia YMCMB Young D Young Dee: Situmii Madawa ya Kulevya ila Napiga Mtungi Kwa Sana Young Killer Young Money Yoweri Museveni yuzo mkali yvone chakachaka Z Anto z-anto zamaradi mketema Zanzibar Zari Zari All White Party Zari The Boss Lady Zimbabwe Zitto Aama Chama zitto kabwe Zitto Kabwe ACT Zlatan Ibrahimovic Zuhura Gora Zuleha Zuzu
false
ltr
item
BongoSwaggz.Com : Risasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni
Risasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni
http://2.bp.blogspot.com/-DsyIDYlplDg/VYeWBeUGUYI/AAAAAAAAwII/glmoDE4daUg/s640/tovuti.png
http://2.bp.blogspot.com/-DsyIDYlplDg/VYeWBeUGUYI/AAAAAAAAwII/glmoDE4daUg/s72-c/tovuti.png
BongoSwaggz.Com
http://www.bongoswaggz.com/2015/06/risasi-zarindima-vituo-vya-bvr-arusha.html
http://www.bongoswaggz.com/
http://www.bongoswaggz.com/
http://www.bongoswaggz.com/2015/06/risasi-zarindima-vituo-vya-bvr-arusha.html
true
371784233821042440
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy