Advert

Breaking News

PICHA: Camera za Mapaparazzi zikamnasa Cristiano Ronaldo ‘Anachimba Dawa’ Mtaani.

RONA2Staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo ameendelea ‘kula bata’ katika kisiwa cha Saint Tropez, Ufaransa akiwa na marafiki zake katika wakati huu wa mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu.
RONAAA
Camera za mapaparazzi ziko nae kila kona, wakamnasa na hii usiku sana akiwa ametokaClub Le Quai na washkaji zake, akajibana sehemu ajisaidie haja ndogo.. camera zikamnasa pia !! Baadae inaonekana kuna Askari ambao walimkamata alafu wakamwachia.
Ronaldo
RONA5
RONA4
RONA6
-TZA
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.