Advert

Breaking News

NEW AUDIO: BEYOND BORDERS ( TZ VS KENYA )_ Dj D-Ommy | DOWNLOAD


Kama utakumbuka kwenye Documentary yangu ya "8 MINUTES OF DJ D-OMMY"
Niliwaahidi Watanzania kwamba nitaanza kufanya Collabo na Madj wengine kwenye Mixx Moja na hii ndo ya kwanza inayokwenda inayokwenda kwa jina la "BEYOND BORDES" ambayo nimefanya na Dj Rigz kutoka "TRUE BLAQ ENTERTAINMENT" the leading entertainment firm in Kenya. Hii itakua Mixx yangu ya kwanza tangu nimejiunga na CLOUDS FM. So Enjoy.
UNAWEZA KU DOWNLOAD HAPA Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.