Advert

Breaking News

Huyu ndio mrembo anayedaiwa kuwa na uhusiano na Cristiano Ronaldo

Kwa mujibu wa Daily Mail, mrembo anayeweza kuwa na uhusiano na Cristiano Ronaldo kwa sasa ni Alessia Tedeschi, muigizaji na mlimbwende wa Italia.
Alessia-Tedeschi-Photos-Part-10
Taarifa kutoka Italia zimedai kuwa Ronaldo anadaiwa kumpa mwaliko wa VIP Tedeschi nchini Hispania kumwangalia akicheza na kisha jioni kutoka pamoja.
screen-shot-2015-06-03-at-8-28-56-pm

Wawili hao bado hawajathibitisha kuhusu uhusiano.

-bongo5 Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.