Advert

Breaking News

Diamond kuzindua ‘headphones na earphones’ zake ‘Chibu Beats’ mwishoni mwa mwaka huu

Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.

Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.’ Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. “Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond. “Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats ”
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.