Advert

Breaking News

BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Barcelona wakisherehekea ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Juventus.
KLABU ya Barcelona imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Juventus mabao 3-1 katika fainali iliyopigwa nchini Ujerumani usiku wa kuamkia leo.
Mabao ya mabingwa hao yaliwekwa kimiani na Ivan Rakitic, Luis Suarez na Neymar.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.