Advert

Breaking News

Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.

Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA

Wale wa kuwaamini na wale wa kutowaamini....NAWAJUA
Wale mlio karibu yangu kwa sababu Fulani....NAWAJUA na msiniamini sana Hata mm nimewaruhusu kuwa Karibu yangu kwa sababu zangu flani
Kwa ufupi tu....JUA NAKUJUA
Tafakari Chukua Hatua

OkyBye"
-Lulu on Instagram Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.