Advert

Breaking News

Tetesi za Ndoa ya Wema Sepetu Zawa Gumzo Mjini, Soma Hapa

Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni.
Tetesi za Ndoa ya Wema Sepetu Zawa Gumzo Mjini!
Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo. 
Leo kwenye ukurasa wake mtandaoni amebandika picha hiyo hapo juu na kuandika "Never knew what Hapiness had to offer..... Until now... Im GrateFul & Thankful...."
Ngoja tuendelee kusubiri.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.