Advert

Breaking News

Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi, Jionee Picha Hapa

Picha: Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi


Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford  ambaye kwa sasa yupo nchini  Burundi, ame ‘share’ nasi baadhi ya picha akiwa mzigoni.
Picha: Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi 1
Picha: Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi 2
“On SET with brothers filim company in BURUNDi..huu uhusika sijawahi kucheza itakuwa ni tofauti sana..nawapenda wote” –Shamsa ameandika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
Picha zaidi jionee hapo juu.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.