Advert

Breaking News

PICHA ZA WEMA NA IDRIS ZAZUA GUMZO KUBWA MTANDAONI, ZIPO HAPA

Picha za Mastaa hawa wawili Wema Sepetu na Idris Sultan wakiwa kwenye mapozi matata zimekuwa gumzo mtandaoni huku wakiwa kwenye Maeneo Yanayoonekana kama Supermarket.

Je unadhani Kuna kitu kinachoendelea Au Ni Kawaida tu ??

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.