Advert

Breaking News

New Audio; Vanessa Mdee Ft. K.O_Nobody But Me


Wimbo mpya wa Vanessa Mdee akishirikisha K.O wa Afrika kusini umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa S.A aliyetengeneza wimbo wa KO - Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka kwa Master A ambaye ni maarufu nchini humo kwa kutengeneza ala za nguvu.  Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.