Advert

Breaking News

Kuhusu Stori Ya Mimba ya Zari kutokuwa ya Diamond na Ushahidi Vipo Hapa.

Mimba sio ya Diamond
Katika ugomvi kati ya Zari and Chagga Barbie imedhihirika kuwa mimba aliyonayo Zari sio ya Diamond Platnumz kama inavyofahamika bali ni ya mtu aliyefahamika kwa jina moja tu la  ‘Katunzi’ ambae Chagga Barbie alimtaja.
Ujumbe Huo hapo juu unatoka kwa Stella Tillya a.k.a Chagga Barbie ambae amepost kwa kutumia jina la kiuficho na kujiita Muke ya Muganda.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.