LATEST ARTICLES

Billnass Atuma Watu Kuomba Msamaha kwa TID !

Kuna vita vikali vya maneno kati ya TID na aliyekuwa kijana wake, Billnass. Katika mahojiano mengi aliyofanya, Mnyama anaonekana kukerwa na kitendo cha rapper huyo wa Chafu Pozi kuondoka kinyemela Radar Entertainment – label...

Wema Sepetu ‘Mimi Dhahabu Inayogombewa na Watu, Sijali Wanaonichafua’

Mrembo wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, amesema yeye ni dhahabu inayogombewa na watu hivyo hajali hata kama atachafuliwa namna gani katika mitandao ya kijamii. Wema aliliambia MTANZANIA kwamba, hana mpango wa kujibu vibaya vinavyoongelewa kuhusu...

Mkasa: Nilivyofanya Bonge la Sherehe Baada ya Mke Wangu Kufukuzwa Kazi

Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila aina,handbag...

Cheka na Joti ( @JotiTanzania ) Team Fisi Vs lady Jaydee

Cheka na Joti Mdebwedo uongeze Siku za Kuishi, Pia Usisahau KuSubscriber Akaunti Yetu ya BONGO MZUKA TV kwa Video za Vituko , Video Mpya za Wasanii na Video za Habari

Music: Young Dee – Hands Up | Download

 Rapper Young Dar es salaam ‘Young Dee‘ baada ya story za madawa ya kulevya na kukiri kuyatumia, Ameachilia ngoma yake mpya nakuipa jina la Hands Up chini ya uongozi mpya.

Rasmi: Zlatan Ibrahimovic Ataja Timu Atakayoichezea Msimu Ujao

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya PSG, Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi kuwa ataichezea timu ya Manchester United kwa msimu ujao utakaoanza Agosti 13 mwaka huu. Ibrahimovic ambaye alikuwa akiwaniwa na United kwa muda mrefu tangu alipomaliza...

Ruby Apangua Kauli ya Saidi Fella Adai ‘Yamoto Band Hawakuona Umuhimu Wangu’

  Msanii Ruby ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Yamoto Band unaofahamika kwa jina la 'Suu' amefunguka na kupinga kauli iliyotolewa na maneja wa Yamoto Band, Mkubwa Fella kuwa yeye ana stress ndiyo maana...

Shilole Na Mpango Wake Wa Kutafuta Mume Kijijini.

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume. Akistorisha na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, hataki...

Ajabu: Mwanaume Afunga Ndoa na ‘Simu Yake’ Kanisani

Mwanaume mmoja aliyejitambusha kwa jina la Aaron Chervenak mwenye umri wa miaka 34 na mkazi wa Los Angeles nchini Marekani, amefanya tukio la aina yake baada ya kufunga ndoa kanisani na simu yake ya...

Wabunge UKAWA Watoka Bungeni Wakiwa na Mabango Yenye Ujumbe Huu.

Wabunge wa UKAWA watoka nje ya bunge wakiwa wametinga mavazi meusi na wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbali mbali. Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka.. Magufuli acha kutawala Zanzibar kijeshi Magufuli nchi hii siyo mali yako...

Bilionea Aiibia TRA Tsh. Milioni 7 Kila Dakika Moja

RAIS Dk. John Magufuli amemtumbua mfanyabiashara mmoja maarufu Dar es Salaam, aliyebainika kufanya miamala ya fedha ya Sh milioni saba hadi nane kwa kila baada ya dakika moja. Kutokana na hesabu ya Sh milioni saba...

Shinda Mkwanja na Bongo Swaggz App, Fanya Hivi Kuwa Mshindi.

Bongo Swaggz kupitia Android Application yake inakupa nafasi ya kujishindia Pesa Taslimu kwa kufuata hatua chache na rahisi zifuatazo: Copy/Save Picha Hii Hapa Chini Kama Ilivyo Kwa Umakini. 2. Baada ya kusave kwenye simu yako,...

JE Unatarajia Kuoa/Kuolewa ? Basi Hii Inakuhusu Sana.

Kila siku ninayoamka huanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka salama, natumai na wewe msomaji wangu hufanya hivyo. Kwa wale wagonjwa nao huwa nawakumbuka, naimani Mwenyezi Mungu pia anaendelea kuweka mkono kwao. Baada ya yote, leo...

Hii Ndio List ya Mastaa wa Tanzania Waliokuwa Verified Instagram

Kuwa verified katika mitandao ya kijamii ni kitu ambacho kinawaongezea wasanii umakini na kuwapatia uhakika kwa mashabiki wao, Kwa Tanzania idadi ya wasanii inazidi kukua ikiwa ni June 29 2106 mkali wa bongofleva Baraka Da Prince amekuwa...

Gigy Money Kumwacha Mwarabu Kisa Ubahili.

VIDEO Queen asiyeishiwa vituko, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amethibitisha kuwa yupo mbioni kumpiga kibuti bwana’ke mwarabu endapo ataendelea kuwa bahili, kwani kwake yeye hakuna mapenzi isipokuwa anachojali ni hela tu. Akichonga na Risasi Mchanganyiko, Gigy...